ESC

Search on this blog

keki ya ndizi bila mayai/eggless banana cake/sweet snacks/dessert recipes

keki ya ndizi bila mayai/eggless banana cake/sweet snacks/dessert recipes


Assalaamu aleykum warahmatullahi wabarakaatuh.. leo nimewaleleteeni mazishi ya keki ya ndizi ambayo haitumii mayai.viungo vyake ni kidogo sana ,ni rshisi na haraka kutengeneza.... usisahau kubonyeza SUBSCRIBE kwa mazishi zaidi!!! KEKI YA NDIZI... Mahitaji _________ 1.ndizi zilizoiva vizuri 3 za wastani 2.unga wa atta (brown flour) kikombe kimoja na nusu 3.mafuta ya kupikia nusu kikombe 4.sukari ya brown nusu kikombe(unaweza tumia ya kawaida ile ya brown nzuri zaidi) 5.vanilla kijiko kimoja cha chai 6.baking powder kijiko kidogo kimoja na nusu 7.chumvi robo kijiko cha chai 8. zabibu (ukipenda) 9.njugu (ukipenda) 10.nutmeg (ukipenda) JINSI YA KUANDAA... _____________________ 1.vuruga ndizi na sukari mpaka zillainike vizuri 2.mimina mafuta kwenye mchanganyiko wa ndizi uchanganye vizuri 3.mimina unga,baking powder ,chumvi na vanilla uchanyanye vizuri kutumia mwiko 4.ongeza zabibu kwenye unga. 5.mimina mchanganyiko kwenye chombo cha kuokea ,oka kwa moto wa 180 kwa muda wa dakika 45. 6.tayari kwa kuliwa..unaweza kuandaa ukiwa moto ndio nyama zaidi...
source

Related Recipes:

Newsletter image
Weekly updates

Let's join our newsletter!

Do not worry we don't spam!